DKT. KIKWETE AZINDUA MPANGO HARAKISHI WA WATOTO NJITI NA WATOTO WACHANGA.

Na.Elimu ya Afya kwa Umma, Ikiwa leo  Novemba 17, 2023 Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani, Rais Msataafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amezindua Mpango Harakishi wa Watoto Njiti na Watoto Wachanga. Akizungumza katika Uzinduzi huo Jijini Dar Es Salaam katika Mkutano wa Pili wa Kisayansi wa